Ushiriki wa wazazi na wanafunzi katika usafi Hospitali ya Bombo |
Wanafunzi wa shule ya msingi Chuda kitengo cha viziwi na wa shule ya Sekondari ya Ufundi Tanga pia walikuwa ni sehemu ya jamii walioshiriki usafi katika hospital ya Rufaa Bombo. |
Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya NAPD Jackson Tarimo akishiriki kufanya usafi katika hospitali rufaa ya Bombo kama sehemu ya kuadhimisha wiki ya viziwi Duniani |
Mwenyekiti wa CHAVITA TAIFA bwana Nidrosy Mlawa akifafanua jambo mbele ya mgeni rasmi, katibu tawala wa mkoa wa Tanga,kulia alieshika maiki ni mkalimani |
No comments:
Post a Comment